Ameelezea siku chache zilizopita
zimekuwa kama fujo tupu kwa klabu hiyo na akaahidi
kujaribu kurejesha tabasamu
kwenye nyuso za mashabiki .
Hii ni kufuatia kufutwa kazi kwa
meneja wa klabu hiyo David Moyes kutokana na matokeo mabaya ya klabu hiyo
katika ligi ya Premier.
Alianza kwa kumshukuru Meneja wa
zamani Moyes kwa kumpatia fursa ya kwanza kufanya kazi kama kocha.

Chapisha Maoni