Home »
video
» Mbowe atangaza ukawa kama muungano wa vyama vya siasa kuelekea uchaguzi mkuu 2015
Mbowe atangaza ukawa kama muungano wa vyama vya siasa kuelekea uchaguzi mkuu 2015
Written By Unknown on Jumatano, 30 Aprili 2014 | 13:52
Mkutano wa umoja wa katiba ya wananchi-Ukawa- uliozuiliwa na jeshi la polisi mara mbili umefanyika leo katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Zanzibar huku viongozi wakuu wa vyama vitano vya upinzani wakihudhuria na kuhutubia.
Chapisha Maoni