Written By Unknown on Jumapili, 30 Machi 2014 | 09:14
Milipuko hiyo ililipuliwa na magaidi katika mghahawa mdogo na kituo cha mabasi kilichopo eneo hilo la Eastleigh. Polisi wameeleza kuwa waliopoteza maisha walikuwa wamekwama ndani ya mghahawa huo wakati wakisubiri kununua chakula cha usiku.
Chapisha Maoni